Wakati
michuano ya Copa America ikitarajia kuanza wiki hii nchini Chile, kuna
video moja imepata umaarufu mkubwa America ya kusini.
Moja
ya timu dhaifu itakayoshiriki michuano hii ni Venezuela na katika hatua
ya makundi watachuana na miamba ya Brazil, Colombia na Peru.
Wakati
wengi wakiwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Venezuela kuendelea katika
michuano hiyo kutoka kundi hilo, timu ya taifa ya nchi hiyo imepata
morali kutoka kwa wanawake nane (8) waliotengeneza video ya kuwapa
motisha wachezaji wao.
Wanawake hao wameamua kuwa uchi kwenye video hiyo na watu zaidi ya nusu milioni wameshaiangalia ndani ya siku mbili.
Nawewe chukua time yako kuicheki hapa chini;




Post a Comment