Featured
Loading...

Kwa Nini Wanaume Wengi Hupenda Kufanya Mapenzi Baada ya Kulewa; na Wasichana Wengi Hupatwa na Vishawishi

Kwa nini wanaume wengi hupenda kufanya mapenzi baada ya kulewa; na wasichana wengi hupatwa na vishawishi


Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na
kushindwa kujizuia na vishawishi vya kufanya mapenzi. Pombe
huwafanya watu kustarehe, kuwa wazembe na kushindwa kutoa
maamuzi ya busara kutokana na kutojali. Ndiyo maana kuna
uhusiano sana kati ya maambukizo ya VVU na ulevi wa kupindukia.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top