Featured
Loading...

Kila Ninapopishana na Mwanaume Njiani Mwili wangu Haujitambui Kabisaa - Naombeni Msaada Ninawezaje Kujizuia?

Habari!
Mimi Ni Msichana mwenye Umri wa Miaka 19, Ninatatizo la kutamani kufanya tendo la ndoa kwa kila mwanaume ninayekutana naye njiani, Sijitambui kwa nini inatokea hivyo naomba Msahada Nifanyaje?

1 comments:

Nitafute nikupe ushaul

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top