Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani
kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe
kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba
ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa
unakuwa mtu mzima, yaani mwanaume.
Loading...
Home » Unlabelled » Je, mvulana afanye nini ili kuzuia ndoto nyevu? Haya Ndio Majibu - Pitia Ufahamu.



Post a Comment