Featured
Loading...

Fahamu Hili: Kwa nini Wanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume, Pitia Hapa

Wasichana na wanawake wanaweza kulewa kwa ujumla.
Mara nyingi, hulewa pombe haraka kuliko wanaume. Hii
inatokana na uzito mdogo wa miili yao, na kiasi cha mafuta na
maji katika miili yao. Kilevi husambaa kiasi kikubwa katika miili
ya wanawake. Maini yao huharibika kirahisi zaidi kuliko maini
ya wanaume.

Kutokana na kilevi, wanawake au wasichana huwa wepesi
kufanya vitu ambavyo wasingefanya kama wasingelewa.
Wanaume hutumia nafasi hii kuwashawishi kufanya mapenzi
bila kuchukua tahadhari yoyote kama vile kutumia kondomu ili
kupunguza maambukizo ya VVU.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top