Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani Ni
vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu
ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli
ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya
iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu,ndani ya hizo sababu kuna vitu
vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini
utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha
sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.
2.Dada wa rafiki yako
kipenzi Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako.
Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo
hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta
siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake.
Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo
mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa,
sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.Loading...
WADADA WA NAMNA HII NI SHIDAAH KUWA NAO KIMAHABA
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani Ni
vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu
ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli
ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya
iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu,ndani ya hizo sababu kuna vitu
vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini
utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha
sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.
2.Dada wa rafiki yako
kipenzi Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako.
Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo
hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta
siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake.
Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo
mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa,
sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.

Post a Comment