
Star
kutoka nchini Kenya mwenye vituko mbalimbali Huddah Monroe
amedhihilisha akili yake kupinda baada ya kuacha sehemu yake ya juu
wazi.Ustar wake ulianza baada ya kuanza kushiriki shindano la Big
brother Africa.Kwa sasa haifahamiki shuhuli yake ya msingi
inayomwingizia kipato ni ipi bali anaonekana akizunguka nchi mbalimbali
akiponda raha bata 24-7.


Post a Comment