Mambo Wadau - Nimepokea Ujumbe wenu mbalimbali, Nasema Nashukuru kwa Ushirikiano Munaouonyesha kwa kuwa Nani.
1. Napenda kuchukua Nafasi hii kuwajuza Wale wanaonipenda ya kuwa, Nafasi Imejaa kwa sasa Maana tayari nimeshapata Ninayempenda - Poleni sana Kwa majibu Haya.
2. Kwa wale wote wanaoona story zangu hawazipendi pia napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kuachana nazo kwa maana, Upande wa social Network Kila Mtu anaingia kwa mahitaji yake Hivyo kufanya kama anavyotaka mtu fulani siwezi.
MWISHO:- Natoa Furusa kwa wale wote wenye Story/wanatafuta wachumba kunitumia ujumbe wao inbox facebook nitauweka.
Ahsanteni.



Post a Comment