Featured
Loading...

Ninampenda Sana, Tatizo nikiwanaye faragha stimu hazipandi hadi nimkumbuke wa zamani - Naombeni Ushauri inatokana na Nini?

Habari Zenu! Mimi ninampenzi wangu wa Kiume ninampenda sana, kinachonishangaza tunapokuwa karibu yaani faragha ninakuwa sina hamu naye hata kidogo(Stimu hazipandi) Japo Tuna -do- lakini sifurahii hadi nimkumbuke mpenzi wangu wa zamani kabla yake ndipo najisikia kidogo, Naombeni Ushauri Maana Sina nia ya Kumpoteza!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top