Mimi ni mwanamke nimeolewa na nina mtoto mmoja,kabla sijaolewa nilikuwa
nafanya biashara ya kujiuza(changudoa) na nilifanya hivi ili kupata pesa
ya kujikimu maana maisha yangu yalikuwa
magumu baada ya mama na baba kufariki.Niilikuwa na uwezo wa kuhudumia
hadi wateja kumi kwa siku,hali ile imeniadhiri sana maana Naombeni
ushauri wenu wakubwa wenzangu maana hata raha ya ndoa siioni...mana kila
saa natamani kupigwa mchi tena zili show za wengi wengi
Loading...
Home » Unlabelled » Nilikuwa Kahaba, kwa sasa Nimeolewa na ninamtoto mmoja - Ile Tabia ya Imeniathiri ya Kutembea Na Watu wengi kwa mpigo. Nifanyeje Ili Niwe Sawa?



Post a Comment