Nina Mpenzi wangu kila ninapokutana naye huwa sinafuraha naye kwa kifupi Ninamchukia, lakini cha ajabu akiwa na wasichana wengine huwa Moyo unaniuma sana kwa wivu, Naombeni Ushauri Nifanye nini ili Nimpende
Loading...
Home » Unlabelled » Nikimuona Mpenzi Wangu Namchukia, Akiwa na Wanawake wengine huwa Moyo unaumia Sana!



Post a Comment