Featured
Loading...

Naombeni Ushauri:- Amenizalisha Mtoto moja na Kunipa Ujauzito Mwingine - amenitamkia Anitaki nifanyaje?

Sasa ni mama wa Mtoto mmoja, pia natarajia kupata mtoto wa pili baada ya miezi 5 ijayo, mpenzi ameniambia hanitaki tena, Naombeni ushauri Nifanyaje? Tatizo Silijui ila nimesikia amepata Mwanamke Mwingine

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top