Featured
Loading...

Na hivi ndivyo mchuzi wa pweza utakavyoweza kukusababishia kifo

Mchuzi wa pweza inasadikika kuwa ni kiamsha nguvu (energizer )kinachopendwa sana na wanajamii,

 
Mchuzi wa pweza waweza kukusababishia magonjwa yatakayopelekea kusababishia kifo kama vile kandida fangus na kifua kikuu njia za kuambukiza,
 
Kibakuli cha kuwekea kachumbali na kibakuli cha kunywea mchuzi wa pweza kinatumika na watu wengi tofauti huku kikisuuzwa juu juu na maji yasiyochemshwa hivyo kupelekea kuendelea kuishi au kusambaa kwa vidudu vya kifua kikuu kwenda kwa mtu mwingine
 
kibakuli cha kachumbali,
Hiki kinaweza kusababisha kifo kwa kukuletea kifua kikuu kwa sababu watu zaidi ya mmoja kwa kutumia stiki wanachovya kachumbali ikiwa na nyama ya pweza kisha kuiweka mdomoni kisha kukirudisha tena kijiti kile kwenye kibakuli na kukizamisha ndani kisha kukiweka tena mdomoni njia hii inaweza kusambaza vidudu vya kifua kikuu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top