Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama
nakikubala. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa
kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.
Mwalimu amenusingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpka sasa
sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa mana na yeye
atanekandia sana kwa walimu na wanafunzu wenzangu wakati mimi sina
makosa. Nifanye nini?



Post a Comment