Ninaitwa Christina, nina miaka 21, Ninamchumba wangu askari, Ninampenda sana Tatizo lake Kila tukitaka kuanza kufanya mapenzi lazima aanze kunipiga kwanza ndipo anafanya, Nimejaribu kumuuliza kwa nini anafanya hivyo majibu yake siyaelewi, mara anasema huwa anafurahi kuanza kunipiga, mara kabila letu ndivyo lilivyo, Jamani Naombeni Ushauri Nichukue Uamuzi Gani?
Loading...
Home » Unlabelled » Mchumba wangu ni Askari, Afanyi hadi Anipige, hivi Kweli Ananipenda? Ushauri Wenu Ni Muhimu Sana



Post a Comment