Umetaka kujua nini athari za kufikia mshindo kwa mara nyingi,
hasa tukilenga wale wenzetu ambao wamekua na mahusiano yasiyo rasmi kwa
idadi ya KE na kwa idadi kubwa ya magoli.
Kwanza niseme manii kwa kiasi kikubwa ni maji na kuna protien kidogo na madini ya zinc pamoja na magnesium.
Inaelezwa na watafiti kwamba kila mshindo 1 hupoteza mg 5 za ZMA (zinc+magnesium), ZMA huengeza homoni ya testosterone ambayo hutusaidia katika kupata usingizi mzuri na kuzuia Metabolic Syndrome and heart disease. Hapa kama nilivyo sema awali nimewalenga watu ambao hutupia nyavu tatu ndani ya masaa yasiyo pungua 24.
Somo hili ni pana na zuri nini kifanyike walau wasije kumbwa na madhara tunarudi kwenye aina ya vyakula kuna ulaji wa mihogo mibichi karanga mbichi na asali mbichi katika hivi tunacho jaribu kuongeza ni ZMA pia kuna shellfish kama oyster au pweza ambao huongeza sana ZMA na kuchochea msukumo wa damu. Tukizingatia hili na mengine mengi yaliyo semwa basi tutaongeza ufanisi. Tukumbuke kila kitu ni kwa kipimo sahihi ndio tunapata ubora wa kilichokusudiwa.
Execessive than required is illegal.
Ushauri wangu tusome vitabu na tutumie utandawazi kuongeza maarifa.

Post a Comment