Tunapoamua kufanya jambo
sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya
ngono kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa
vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili,
kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani
ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya
hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi
tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na
tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo
hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi
Kuna baadhi ya watu (wake
kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo
wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini
wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na
kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu
kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili
wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne
anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni
wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.
Ukweli kuhusu Tigo.- Sio
tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua
kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya
kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya
nini unataka kifanyike mwilini mwako.
Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.
-Mara mishipa ya Tigo
ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama
ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.
-Wengi tunaamini kuwa
kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama
ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia
mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
-Ukizoea sana kupigwa
nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa
wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la
kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea
baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha
watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba
zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo
yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na
kuyatenda.
MADHARA MAKUU NI:
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
- Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
- Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
- Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
- hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Paparaziwetu inakushauri
na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na
heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile
utakavyo.
Ushuri wa bure-Jiheshimu
na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume
asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa
waliwahi pia...



Post a Comment