Kuwahi (au kuchelewa) kufika
Nilishaandika kwenye threads nyingine kuwa kuwahi kufika inaweza kuwa na faida zaidi kuliko kuchelewa kufika. Kwa nini? Kwa sababu mwanaume anaweza kuji-control na hivyo kutofika mapema lakini ni vigumu kujilazimisha kufika mapema. Of course, kuwahi au kuchelewa kufika kuna faida na hasara zake kulingana na wahusika, madhumuni ya kungonoka, nk.
Hata hivyo, inadaiwa kuwa baadhi ya wanaume wanaochukuwa muda mrefu kufika kileleni huwa wanapata shida kumpa mwanamke ujauzito.Tofauti na kuwahi kufika, kuchelewa kufika ni ngumu kutibika kulingana na sababu zilizosababisha tatizo hizo. Kuchelewa kufika kunaweza kusababishwa na vitu mbalimbali kama ilivyo kuwahi kufika. Mojawapo ni stress, anxiety na kutokuwa na sexual confidence pale mwanaume anapokutana na mwanamke. Pia inadaiwa kuwa malezi yanachangia kwa kiasi fulani hasa kama mwanamume alikuwa na makuzi ya "geti kali". Kuna wanaume wengine wana "controlling personalities" siyo tuu kwenye maisha ya kawaida bali pia kwenye kungonoka.
Baadhi ya wanaume wanaochelewa kufika wanaweza kuwa pia na tatizo la kutoonyesha emotions na kujiachia aka "letting it go" wanapokuwa kwenye 6X6. Sababu nyingine ni kuogopa kumpa mwanamke ujauzito, kuwa na hisia kuwa kikokojoleo cha mwanamke ni kichafu, kulelewa katika maisha yanayofuata dini au utamaduni wa aina fulani, ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya, majereha ya ndani kwenye kwenye spinal cordial au kuonyesha dalili za mwanzo kabisa za ushoga.
Kama bado ni kijana unaweza usione kuchelewa kufika kama ni tatizo. In fact, unaweza kuwa maarufu sana kwa wadada wa mujini. Akina dada watafurahia ile mbaya kwa mwanaume kuchukua masaa mawili hadi matatu kufika kileleni huku wao wakiwa tayari wameshafika na kurudi mara sita na nusu! Tatizo linakuja pale mwanaume anapokuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na ya kudumu na mwanamke halafu ukute anataka mtoto. Weeeeeeee!!!
Wapo baadhi ya wanawake ambao hawawezi kuhimili kwa muda wote huo maana wote mnaweza kuishia kuchubuka na kuwa frustrated. Mwanamke atajisikia mnyonge, kudharauliwa kisa mwanaume kuchukuwa masaa kufika aendako. Pia wapo baadhi ya wanawake ambao mwanaume akichelewa sana kufika wanakuwa na wasiwasi sana kama kweli anampenda na akiwahi kufika hasa wanapongonoka kwa mara ya kwanza wanaamini kuwa wamemfikisha mwanaume mpaka ameshindwa kuji-control na kufika aendako fasta. Lakini ikiwa too much inaweza kuwa ni tatizo.
Mwanaume anaweza kuachwa na mwanamke kwa kuchelewa sana kufika na kutaka kuwa na mwanaume who can "come". Kuna baadhi ya watu huwa wanahusisha tatizo tatizo la kuchelewa kufika na umri kwenda mbele lakini ikumbukwe kuwa kwa kawaida wahusika huwa wanaanza kutafuta msaada wa kitaalam wakati wakitaka kupata mtoto kwa udi na uvumba.
Ukipima kati ya kufika mapema na kuchelewa sana kufika ni heri kuwahi kufika, kwa sababu tatizo la kuchelewa kufika linaweza kutibika au mwanaume anaweza kutumia njia nyinge ili mwanamke afike kwanza na yeye kumalizia. Wanaume wanaofika mapema wanaweza kutumia ulimi na vidole vyao. Ulimi ni mgumu sana kuliko mfupa na lazima utamfanya mwanamke afike kabla au hata zaidi yako. Wanasema “a tongue is hard than a double-edged sword”. Ulimi ndiyo msuli pekee kwenye mwili unaofanya kazi kupita hata moyo na hata vikojoleo vikiunganishwa pamoja.
Bahati mbaya hakuna matibabu au njia mbadala ya mwanaume anayechelewa kufika. Inadaiwa kuwa hakuna dawa ambayo inaweza kumfanya mwanaume anayechelewa kufika mapema. Madhara ya kuchelewa kufika yanaweza kuwa makubwa na painful kuliko hata yale ya kuwahi kufika.
Kuna mdau mmoja alieleza hapa JF tatizo lake la kuchelewa kufika na jinsi lilivyokuwa linamletea shida kila anapokutana na mwanamke. Kwa maelezo yake inaonekana lilikuwa ni tatizo kubwa sana kwake kuliko hata wale wanaoanzisha threads wakilalamika kuwahi kufika.Kwa hiyo, wale wanaodhani kuwa kufika kileleni mpema ni tatizo, pia kuchelewa kufika nako ni tatizo tena ambalo linaweza lisiwe na tiba

Post a Comment