Featured
Loading...

Kila Akiniona Anataka Tufanye, Nimechoka sana - Sijui Nifanyaje

Tangu tumeanza Mahusiano mimi na mchumba wangu yapata miezi 3 sasa, Mwanzo penzi lilikuwa Tamu kwangu sasa chungu kama shubiri, Maana tabia ya mchumba wangu kila anaponiona Anahitaji Tufanye Tendo, Kila siku, Sasa nimechoka sana haka katabia maana sipati muda wa kupumzika
Naombeni Ushauri Nifanyaje ili anipatie muda wa kupumzika?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Live 360 Days | Designed By Code Nirvana
Back To Top