Loading...
Home »
Unlabelled »
Jinsi ya Kudeal Na Mume Mwenye Michepuko Ukiondoa Option Ya Talaka. Siasa Za Ndoa Za Kisasa.
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mfanye kufollow ile account ya @ rajukaka17 mambo manono,
mazitooo yajaaaa. Ofisi zitakuwaje tamu sasa. Fanyeni kufollow kwanza
afu mambo mengine yafuate.
Ujue TIMES HAVE CHANGED AND THINGS HAVE FALLEN APART, MOST MARRIAGES ARE
NO LONGER AT EASY! Ndoa ya kisasa ukitumia manual script au kanuni ya
zamani ya 4, 4, 2 unajipotezaaaa, ukifata mawaidha ya mama yako
alichomfanyia kikongwe baba yako ushafeli mtihani. Maisha yatakupeleka
peleka mzobe mzobe. New begginings call for new techniques. Unaweza
jikuta you is such a very very very good wife/ husband lakini unavoonewa
au unanyanyasika mpaka unajihisi una mkosi haki ya nani si bure. Kuna
chizi wangu alikuwa ananisimulia matatizo ya ndoa yake kwa uchungu
mkubwaaa mnoooo, mpaka akawa amekata shauri akapige mbizi baharini maana
kuoga tu maji ya bahari hakutoshi kuondoa nuksi zilizomkaba koo.
Hahahahaaaaaaaaa! Msicheke mkidhani mazuri oooh! Shit happens to good
people all the time, ndo maisha hayooo.
Mimi katika hio profession yangu isiyo rsmi ya kushauri wana ndoa, kuna
mambo nimeyagundua. Ndo mshangae mi sijaolewa afu naombwa ushauri, well
kwasababu mbinu zangu ni unordhox hilo moja,ziafanya kazi haraka na kwa
ufanisi ili uzipate lazima uje kwangu, pili sababu sina lolote, mtu
anakuwa confident anaona i will understand. Katika shauri shauri zangu
japo nishapigwa total ban na paroko, kuna mke wa mtu nilikuwa namjaza
upepo anamuweka mumewe kwenye kona kila dakikawacha mume aende kwa
paroko adui wa ndoa yao Lara 1. Tobaaaaaa! Ilikuwa nuksi, nikaitwa na
bimkubwa, tena nikasomwa kigangoni kwangu kanisani, nahitajika
parokiani! Acha kabisaaaa! Noma sanaaaa Bi mkubwa aliongeaaaa. Aaaaaah!
Ilakama sumu isivoonjwa nakomaa na hii kazi na nimeweza sumarize Siasa
za kudeal na mume mchepukaji asikupe stress uenjoy ndoa yako hivo hivo.
Nakubali wanaume wanatofautiana lakini ukichunguza sana hawatofautiani
sanaaaa, kuwa generalise ni impssible lakini kuwa group rahisi. Ukijua
group la mumeo rahisi kujua ucheze KARATA GANI, kumlambisha Jokeri na
kuumaliza mchezo.
1. Follow the Money Card. Hii ni karata nzuri mnoo kwa wanaume
wenye fixed income, kama waimu, polisi, na waajiriwa wengine ambao ni
rahisi kujua mishahara yao, na bonuses, sijui vidubwana gani vina
reflect kwenye salary slip. Ukiwa nwa mwanaume wa hivi USIDEAL NAE, JUST
FOLLOW THE MONEY! Wanaumewengine wanakuwa baradhuli sababu visenti tu
vinawawasha, wanaona if they can afford why not!? We deal na ule
mshahara. Unaanzisha miproject yenye akili, maana ukija na business idea
au plan za kingese mwanaume hakupi hela yake hata sh 10. All or most
men are greedy of sucess. Japo wanapenda maku sanaa lakini wanapenda
hela zaidi ziwape access ya maku kali zaidi. Sasa mke unakaa kati hapo
kama business dvp maneger, unakuja tu na project kali zitakomfanya awe
committed, hela yote akipata inaingia kwenye project, dada yangu mie Dr,
mumewe Dr, kaja na project idea ya Health Center, wanakunguta mishahara
yote hapo kwenye mradi wanaanza kupiga vizinga vya 20k, mama zimaaa.
Haahaaaaaa! Mume saa 10 yuko ndani. Aende bar ana hela? Haloooooooooooo!
Kwa design hio mchpuko labda apate jimama limfuge au ndo FREE Pumbu
UNTD akubali kusuuza rungu bureeeee. Nahata hivokasiitapungua 95% na
isitoshe kichwani anawaza vitu vya maana. Akipata jimama ndo safi mradi
unaisha chap chap! Kantangazeee. Huna stress maana unjua umempukuta
umemuachia kende zake tu, akahonge hizo kama zina soko!Hutosikia kazaa
na mumeo kwa Free P, thubutuuuuuu! Hahahaaaaaaa! Haloooooooo! (Leo
mtanichambaje sasa)
2. The Fools Card! Hii ni mujaraaaaab kwa wanaume wale very
successful, very handsome, au sehemu yenye tought competition. Mfano
kwa Kelvino wa Twisa before he was taken. Yaana sehemu akili,
sijuiujasiri, ushapuavu, sijui taka taka gani hazifui dafu. Ukisusa tu
wenzio wanakulaaaa. Ukiodoka hujafia standkahamia mwenzio. Ndoa kama hi
mtihani mjue, ila ndoa ni ndoa hata ya mkeka! Hapo ndo unapocheza THE
FOOLS CARD, unajifanya mjingaa bin zumbukuku. Manake wale ulio nao
kwenye competition wote si wanataka unawe uwaachie we ndo ukaza
unaendelea kula. Shoga uwena moyo mgumu kama shetaniiii, lasivo hii kazi
itakushindaaa. Unataiwa uwe master of HYPOCRISY! Wakibana huku
unatanua kule. Ukiingia ndani unakuta mume anambato demu, unaingia
jikoni kupika, walaaaa huulizi. Uuulize nini sasa? Mume akirudikalewa,
unamvua viatu unampandisha kitandani, asubuhi unatengeneza detox azimue
kabla ya kwendakazini. Akichelewa unamjulia hali mzima baby, okay basi
weukirudi mda wowote sio kupangiana niamshe nikuetengee msosi. Simu
yake kama jela hugusiii, ujitie pressure ya nini? Yakazi gani. Jitu
linakudanganya live live wewe unajifanya jinga jinga yaani zumbukuku.
Atahangaika weee, mwishowe atarudi hapo hapo.Akufukuze kwa kosa gani kwa
mfano? Akukimbie kwa lipi malaika wa watu? Mwishowe wewe ndo unakuwa
mama Rajabian kwa Chief Being!
3. Do me, i do you card! Hii ndo ya sie komandoo vipensiiiiii!
Cha kufa mapema kitu gani? Unakuwa kama namba 2, ila unenda mbele zaidi
kwa kumiliki madanga yako 2 au 3 ya kukuliwaza na kukumilishia mambo
yako mengine. Ndioooo. Kama ukimwi tumalzan tu sio uniletee ndani. Afu
ukiwa na madhamb yako wala humind kabisaaa, na inakupa nguvu mpaya na
mori mpya wa kuvumilia upuuzi wake. Mnakuwa mnachorana tu. Eeeeeehhhhh!
Inaitwa mtulizeee kabla hajakutulizaaaaa. Who the gods seek to destroy
will come crushing first. Unashangaa mke kakufumania anasema mimi bwana
nipe ki BMW tu nakusamehe kiroho safi mzazi mwenzangu wewe. Anaona coz
wote wazambi ila sababu fate imekuadhiri wewe, sio mbaya ukimpooza na
BMW. Au umezaa nje mkeo anakomaa mlete mtotohumu ndani akae na wnezio,
jua na wewe unakaa na watoto wa wenzio bila kujijua. Ndio. Watanzania
wote ni ndugu
4. The smart a.ss card. Hapainabidi uwe smart kweli kweli. Anakoamkia
kesho uwe wewe ulilala juzi.Kama ana mchepuko humuulizi, umapeleleza,
una with hold evidence mpaka ziwe enough ku convict, na hapo bado kabiaa
anaweza ku punch, unahakikisha unamleta muhusika kwenye crime scene, na
zie evidence ulizo with hold ukimlipua hana pa uchomekea. Na hapo bado
kabisaaaa. You crucify him, publicly humiliate him totally and
completely in front of everyone and every body, strip him of everything,
his personality, courage, dignity, image, everything! By the time
umemalizana nae he is just an empty shell! The trick ukifanya hayaunaji
VICTIMISE, haufanyi kama unamkomoa, walaaa, unafanya kama umepanic vile,
tukio limekuchanganya kwelikweli unatapatapa. Yaaanimpaka ajikusanye
kuchepuka tena sio leo. Akiona mchepuko mwili unakufa ganzi. Ukimfumania
unajiliza kwa wazazi, wageni wanaokuja ndani kwenu, paroko, ndugu mpaka
wa ulaya unawapigia simu, ofisini kwao, very single place mbayo ana ki
dignity unaenda kuharibuuuuuu.
.
Au unamblast tu live kuwa wewe sio mjinga. Huendi extreme
semaunawithhold evidence kwanza ajikanyagee then unampa live tu kuwa
wewe sio mjinga picha zima liko hivo, amekusaliti na unajua unamchora
tu.
5.Spiritual card. Hii ni kwa wale wanyonge, hawawezi kujitetea,
maybe ndo ulimbembeleza mtu akuoe, utamleteaje u smart as.s? Kitu kidogo
mi nilitaka kumuoa flani kumbuka lakini. Unanywea kama piriton.
Hahahahaaaaaaa! Sikutangaziiii shoga yangu. Relaxxxxxxxxx! Yupo mtetezi
wa wanyonge na wanao dhulumiwa nae si mwingine ali ni Mungu baba
mwenyezi. Kuna mtuambae yeye ni mkubwa huyo dada, mumewe mdogo, lakini
Mumewe anamuheshimu, anamjali, anamthamini utashangaa, afu dada mwenyewe
wa wasiwasi ukiacha huo ubibi, mbele hachezi, nyuma hatikisiki mchaga
mwenzangu, ana kasura tu kazuri. Ila mumewe hatikisiki. Tukamuuliza
shoga umemlisha nyama ya Tigo nini, hahahaaaaaaaa? Akasema
walaaaaaaaaaaaaa! Mwanaume usi reason nae, usimbembeleze wala usigombane
nae MPIGIE GOTI TU. Atanyooka kama rula mpaka utashangaaa. Jaribuni
mtaniambia! Mtafutie novena zake 3 tu zinamtosha, zikidunda sali, sali
sali zaidi. Utafika tu realm ya kuongea na muumba. Mmmmmmh! Mi nikasema
ngoja kwanza, kuna mtu nilimtibua si kidogo, kama kunyea kambi basi mie
niliharishaaa kabisaa. Nikamkumbuka tu baada ya wanga na maish
kunifindilila, sabau mie mvivu kanovena kamoja tu ka kulumangia. Tena
kwa shaka shaka tu.Mbona alinitafutaaaa? Ooooooh! Chezea Mungu wewe?
Shoga angu shidaayke ilikuwa kubwa alichoka kuwa na mume, huku anachuna
kama mpagani asie na dini, akaomba yule bwana mwenyewe ajifikirie kumpa
mtaji, sio wa china, wa Uturuki, na asimuingile kwnye hizo business, na
akaweka nadhiri hatochuna tenaaaa ombi hilo likifanikiwa, mwezi wa
kwanza holaaa, wa pili holaa, wa 3 nikamwambia shosti utabakiamifupa
kufunga huko, fanya ule ombi lilishakataliwa hilo au mpaka Mungu aseme
SITAKI kwa sauti ya radi ndo upate ujumbe? Hahahaaaaaaaaaa! Wenzio
tumeomba vidogo tumepewa wewe ndounaomba jua na nyota! Loooh! Akakomaa
miezi 6 anasugua goti, ikawasasa ni obsession. Oooooh! Tunavoongea yupo
Uturuki mda huuu. Mtaji ulitoka, nawazo alitoa mwenyeweee mwanaume.
Hapana chezea Alfa na Omega. Mambo ya Mungu yakikushinda fata katiba ya
mabibi kitu cha limbwata.
Najua leo mtachamba sanaaaaa, mkumbuke kuchamba kwingi mwishoe mtatoka
na mimavi bureee. Mkumbuke mimi ni zimwi liwajualo siwezi kuwala
mkaishaaa. Nikiwa overdose leo, kesho na under dose
Monday, 15 June 2015
Post a Comment