JE UNAJUA KWAMBA KUKARIBIANA KWETU KIMAHUSIANO KUNAANZIA KWENYE HARUFU?
Utafiti uliofanywa nchini
Switzerland umeonyesha kwamba mara mwanaume na mwanamke wanapoonana kwa
mara ya kwanza na mmoja kuvutiwa na mwingine au wote kuvutiwa, huwa
kunakuwa na harufu kutoka kwenye*"genes"*zao ambapo
kama*"genes"*hizo zinaendana au
zinafanana kila mmoja atahisi harufu mbaya toka kwa mwenzake na hivyo
kupunguza uwezekano wa kuanza mahusiano kwasababu ya kukwepana na iwapo
"genes" zinatofautiana"dissimilar"
*watahisi harufu nzuri na hivyo kuzidi
kukaribiana. Sasa labda unapompenda au kuvutiwa naye halafu akaanza
kukuepuka, kukukwepa au kukuchukia gafla hatakama hamjaongea naye sana
unaweza kukuta kasha hisi harufu mbaya toka kwako hata kama yeye
mwenyewe hajui kinachomkimbiza


Post a Comment