Mara unapo waza na kuweka mawazo yako
kwenye tendo unalolifanya na pia ukawaza kuhusu furaha yake basi
unafungua milango yote ya "sexual arousal centers" kwenye ubongo na mara
hiyo hiyo utajikuta unafikia kileleni, unatakiwa kujifunza na kuwa na
uwezo wa kufungua na kufunga maeneo ya ubongo wako yanayo jishuhulisha
na tendo la ndoa"sexual arousal center's" ili kumuwezesha na mke wako
kufurahia tendo la ndoa sio tu kila siku wewe ndio inafikia kileleni
mwenzako anaachwa njia panda, na wala hamliongelei hilo, kama vile yeye
ndio ameumbwa kukuwezesha wewe kufurahi…
No!! Great sex is a two way traffic task



Post a Comment