IKUMBUKWE kwamba, kutokwa na majimaji au ute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la
kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili kuondoa sumu.
Ute huu kwa kawaida hauna rangi hadi ukikauka juu ya nguo ya ndani ndiyo huashiria rangi nyeupe au njano. Hata hivyo, hali hii huwa kwa kiasi kidogo ambacho hakihitaji mwanamke kuvaa kitu kingine zaidi ya nguo ya ndani ya kawaida ili kuuzuia.
Lakini majimaji hayo huashiria ugonjwa wa hatari yanapokuwa yanaambatana na dalili zifuatazo:
- Maji maji au ute kubadilika rangi na kuwa kama maziwa mtindi, chokleti, njano, kijani, rangi ya usaha na au rangi ya juisi ya parachichi.
- Majimaji yakiambatana na harufu mbaya hata kama mwanamke ameoga na kuvaa vizuri. Kuna wakati harufu inakuwa kama shombo la samaki hasa wakati wa kushiriki tendo la ndoa na baada.
- Ute unapozidi kiwango chake cha kawaida cha kila siku (abnormal quantity of discharge).
- Maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
- Maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo.
- Kuwashwa sehemu za nje na ndani za via vya uzazi vya mwanamke.
- Via vya uzazi kuwa na rangi nyekundu kuliko rangi yake ya ngozi ya siku zote.
- Muwasho sehemu za mlango wa via vya uzazi kwa ndani.
- Maumivu chini ya kiuno, mbele na nyuma pia chini ya kitovu na hasa kushoto na kulia.
- Sehemu ya nje ya via vya uzazi kuwa nyekundu na wakati mwingine wekundu huo kuambatana na michubuko, vidonda na maumivu.
Sehemu ya nje (vulva) ya via vya uzazi kuwa nyekundu na wakati mwingine wekundu huo huambatana na michubuko, vidonda na maumivu.

Sababu za ugonjwa au chanzo cha tatizo:
Maambukizi au mashambulio katika njia ya uzazi ya mwanamke na si njia ya mkojo hutokana na kufanya mapenzi yasiyo salama na mtu ambaye ana magonjwa ya zinaa, hivyo bacteria, virusi au fangasi hushambulia njia ya uzazi.
Maambukizi haya yapo ya aina kubwa tatu ambayo kitaalam ni bacterial vaginosis, trchomoniasis na monilia.
Kufanya
mapenzi kinyume na maumbile na wakati huohuo kuhamia kwenye uke na
kuhamisha uchafu na wadudu ambao hushambulia njia ya uzazi.
Ulaji mbovu. Utokwaji wa uchafu ni tatizo linalowakumba wanawake wengi wa mijini kwa sababu ya ulaji mbovu. Chakula chenye mafuta kinachochea au kinaamsha seli za mafuta (fat cells) mwili mzima na hivyo husababisha kuzalishwa kwa homoni nyingi za estrogen.

Homoni
hizi zikiambatana na upungufu wa fiber huchochea ukuaji wa bakteria wa
ndani ya utumbo ambao kitaalam wanaitwa clostridia.
Hawa wana sifa ya kubadilisha bile acid kuwa homoni za estrogen ambazo zinapozidi sana husababisha tatizo la mwanamke kutokwa na uchafu katika via vyake vya uzazi.

Njia
za kisasa za uzazi wa mpango (hasa vidonge) bila kujali ushauri wa
kitaalam na bila kujali usafi husababisha kuharibika kwa ukuta wa uke
ambao ni ulinzi, hivyo huharibu afya ya uke kwani huufanya uwe na hali
ya alkali ambayo huruhusu au huchochea bakteria na fangasi kuvamia na
kuzaliana kirahisi.
Hivyo fangusi, hasa candida albicans huzaliana sana na kushambulia uke.

Kutowiana
kwa homoni za mwanamke. Hali hii inasababishwa na vyanzo vingi, mfano
uzito kupita kiasi, ujauzito, wakati wa hedhi, n.k.
Uchafu wa mavazi na uchafu wa mwili hasa kwa mwanamke ambaye hajui jinsi ya kujisafisha katika via vyake vya uzazi ili kuondoa seli zilizokufa (dead cells)
Sababu za ugonjwa au chanzo cha tatizo:
Maambukizi au mashambulio katika njia ya uzazi ya mwanamke na si njia ya mkojo hutokana na kufanya mapenzi yasiyo salama na mtu ambaye ana magonjwa ya zinaa, hivyo bacteria, virusi au fangasi hushambulia njia ya uzazi.
Uchafu wa mavazi na uchafu wa mwili hasa kwa mwanamke ambaye hajui jinsi ya kujisafisha katika via vyake vya uzazi ili kuondoa seli zilizokufa (dead cells)
Sababu za ugonjwa au chanzo cha tatizo:
Maambukizi au mashambulio katika njia ya uzazi ya mwanamke na si njia ya mkojo hutokana na kufanya mapenzi yasiyo salama na mtu ambaye ana magonjwa ya zinaa, hivyo bacteria, virusi au fangasi hushambulia njia ya uzazi.
Maambukizi haya yapo ya aina kubwa tatu ambayo kitaalam ni bacterial vaginosis, trchomoniasis na monilia.
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na wakati huohuo kuhamia kwenye uke na kuhamisha uchafu na wadudu ambao hushambulia njia ya uzazi.

Baada
ya kuona sababu za kutokwa na uchafu kwenye via ya uzazi, wiki hii
tunaangalia madhara ya kutokwa na uchafu huo (vaginal discharge).
Ugumba: Hii hutokea pale mashambulizi/maambukizi yanapofika kwenye mirija na kuleta uvimbe ambao huziba au kusababisha kutengenezwa kwa maji machafu mazito ambayo nayo huziba mirija na huua mimba kila inapotungwa.

Mwanamke
kunuka/kutoa harufu mbaya wakati wote hata kama ameoga na kuvaa vizuri.
Hali huwa mbaya zaidi wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Jambo hili
husababisha mwanamke kuwa na aibu na kujitenga, kutengwa, kujiona hana
thamani na unyonge.
Kupata
maambukizi katika njia ya mkojo yaani U.T.I. Hii ni kwa sababu njia ya
uzazi na ile ya mkojo zimekaribiana sana sehemu zinapoanzia kwenye via
vya uzazi vya mwanamke. Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo, kwenda haja
ndogo mara kwa mara, na kutoa haja ndogo yenye rangi ya njano au kijivu
ni baadhi ya dalili za U.T.I
Utokwaji wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha matatizo/magonjwa gani?
Kuvimba kwa mirija ya uzazi ambapo kitaalamu tatizo hili hujulikana kwa jina la Salpingitis. Likichelewa kutibiwa, mirija huziba na hivyo mwanamke hupoteza uwezo wake wa kushika ujauzito.

UTOKWAJI wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha matatizo/magonjwa gani?
Kuvimba kwa mirija ya uzazi (salpingitis).

Tatizo hili likichelewa kutibiwa mirija huziba na hivyo mwanamke hupoteza uwezo wa kushika ujauzito.
Mrundikano wa vivimbe vidogo vingi kwenye vifuko vya mayai ya uzazi (polycystic ovarian syndrome au stain livingthal syndrome).
Asilimia 75 ya wenye tatizo hili hupoteza uwezo wao wa kushika ujauzito.
Kuwa na uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi upande mmoja au pande zote mbili, kushoto na kulia (ovarian cyst).
Kama utokwaji wa uchafu utaambatana na matatizo ya kukosa hedhi au hedhi kupishanapishana ni kiashiria tosha cha tatizo hili.

Kujaa maji kwa mirija ya uzazi (hydrosalpinx).
Tatizo hili pia husababisha mirija kuziba lisipotibiwa mapema.
Kushambuliwa na fangasi aina ya candida albicans kwenye njia ya uzazi (vaginal candidiasis).
Kuvimba kwa kuta za uke, tatizo linaloitwa vaginitis.

Jinsi ya kutibu tatizo la utokwaji wa uchafu nyumbani kabla ya kutafuta tiba hospitalini.
Kupunguza au kuacha kabisa kutumia sukari na vyakula/vinywaji vyote vyenye sukari kwa muda wa miezi miwili kwani fangasi au candida albicans hutumia sukari kama chakula.

Kutumia karafuu ya unga kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto asubuhi na jioni kila siku kwa miezi miwili.
Kutumia juisi ya karoti glasi moja kila siku asubuhi na jioni kwa miezi miwili.
Kuacha kunywa maziwa kwa miezi miwili au zaidi.

Kutumia mchuzi wa kabeji ambao hauna kiungo chochote kunawia katika via vya uzazi.
Muhimu
Mwanamke akifanya haya yote na bado haoni mabadiliko, atafute tiba ya ziada haraka ili kuepuka ugumba. MWISHO.

Post a Comment