
AMA
kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze
yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa
utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo
kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine,
Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM.
Hebu
sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe
ngono imo ndani yake imenaswa na kufumuliwa baada ya kukutwa uchafu wa
aina yake nyuma ya pazia.
Saluni
hiyo maarufu kuliko Miji ya Sodoma na Gomora, ipo maeneo ya Sinza
ambapo kwa muda mrefu sasa imekuwa ikijihusisha na uchafu huo na
kusababisha kero kwa wananchi


Post a Comment