
Kwa
bahati nzuri wanawake wana maeneo 5 ambayo huwawezesha kusikia utamu wa
kufanya ngono tofauti na wanaume. Sehemu maarufu ni kisimi na G spot
lakini kuna eneo lingine linaitwa AFE ambalo liko mwishoni kabisa mwa
uke na vile vile kuta za uke bila kusahau mwanzo wa uke.
Mwanamke
huweza kupata utamu wa tendo hili takatifu kwenye maeneo yote hayo
ikiwa mpenzi wake anajua kuwajibika, sio kufanya mapenzi kwa muda mrefu
tu bali pia kujua kucheza na uume wake. Pamoja na utundu wake pia wewe
mwanamke unatakiwa kuwa wazi na huru kumuelekeza ikiwa kagusa kusiko au
kapatia kunako utamu. Utamu wa maeneo yote hayo ni tofauti na unazidiana
kati ya mwanamke mmoja na mwingine.
Hebu sasa tutazame hizo sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake.
Kisimi
Wanawake hupata utamu wa kisimini kwa njia ya kusuguliwa, kushikwa,
kuchezewa kwa ulimi, kidole au kichwa cha uume. Utamu wa mahali hapa
hupatikana haraka na hufanya usitamani tena tendo hilo kwa muda fulani
(Kuanzia dakika 3 – 15) na kikiguswa tena huweza kumpa mwanamke maumivu
fulani hivi. Baadhi ya wanawake huwa hawawezi kuendelea
tena na tendo mara baada ya kuchezewa
kisimi.
G-spot Utamu wa mahali hapa ni wa nguvu sana na wanawake wengi huishiwa
nguvukwa muda wanapoguswa eneo hili. Nguvu hizo huchukua muda wa dakika
20 – 45 kurejea, na zikirejea hamu haiishi. Hivyo wakati wewe umezimia
mpenzi wako anaweza kuendelea na mchezo na nguvu zikirudi basi na wewe
unaendelea kutafuta goli lingine.
Mwanzo
wa uke Utamu wa mahali hapa haumpotezei mwanamke hamu, kwani hafiki
kileleni bali anasikia utamu fulani hivi. Ili mwanamke aweze kufika
kileleni,mwanaume anatakiwa aingize uume ndani zaidi ili aweze kugusa
eneo la G- Spot na kuta za uke.
Kuta
za uke Utamu wa eneo hili unapatikana toka mwanzo uume ulipoingizwa, na
kadri mnavyoendelea kufanyana ndivyo utamu unavyozidi kuongezeka na
hatimaye mwanamke hujikuta akifika kileleni. Mwisho wa uke (karibu na
njia ya uzazi) Utamu wa eneo hili hupatikana endapo uume wa mpenzi wako
utagusa mwisho wa uke. Kwa kawaida mwanamke husikia maumivu flani
anapoguswa eneo hili lakini wakati huo huo badoanapenaendelee na wakati
mwingine anaweza kumuomba mpenzi wake afanye kwa nguvu. Pia mwanamke
anaweza kutokwa na damu endapo ataguswa eneo hilo. Ewe
mwanamke,hakikisha unamruhusu mpenzi wako kufika huko ikiwa mnaaminiana,
mko kwenye uhusiano wa kudumu, msafi kiafya na uko tayari kuwa mama
endapo mpenzi wako atateleza na kuachia kidogo kwani eneo hili lipo
mlangoni kabisa mwa njia ya uzazi


Post a Comment